<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Kijiji cha jadi cha Nalu cha Mkoa wa Guangxi kimekuwa kivutio kwa watalii na mahali panapopendwa zaidi kwa safari ya kimasomo

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 15, 2024
    Kijiji cha jadi cha Nalu cha Mkoa wa Guangxi kimekuwa kivutio kwa watalii na mahali panapopendwa zaidi kwa safari ya kimasomo
    Picha hii iliyopigwa kwa droni ikionyesha mandhari nzuri ya Kijiji cha Nalu katika Wilaya ya Xiangzhou, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Zhou Hua)

    Kikiwa na nyumba za makazi za aina ya kipekee ya kale zilizojengwa wakati wa Enzi za Ming na Qing (1368-1911) za China ya kale pamoja na mali kubwa ya urithi wa kitamaduni, Kijiji cha Nalu katika Wilaya ya Xiangzhou, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China pia kinajivunia aina nyingi za vyakula maalum vilivyoandaliwa kwa mbinu za kijadi. Kikiwa kilijumuishwa katika kundi la kwanza la vijiji vya jadi chini ya ulinzi wa serikali ya China Mwaka 2012, Kijiji cha Nalu hivi sasa kimekuwa kijiji chenye vivutio vizuri kwa watalii na mahali panapopendwa zaidi kwa kufanya safari ya kimasomo.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av