<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Mtambo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jotoardhi uliojengwa na Kampuni ya China wawezesha uhamaji wa Kenya kuelekea nishati safi (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2024
    Mtambo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jotoardhi uliojengwa na Kampuni ya China wawezesha uhamaji wa Kenya kuelekea nishati safi
    Meneja wa uendeshaji Fang Wenjun (Kushoto) kutoka kampuni ya Kundi la Kampuni za Kaishan la China na mwenzake wakikagua kifaa kwenye Mtambo wa Kuzalisha Umeme wa 35 MW kwa Jotoardhi wa Sosian Menengai katika Kaunti ya Nakuru, Kenya, Septemba 9, 2024. (Xinhua/Han Xu)

    Ukuaji wa uchumi wa Kenya umeambatana na ongezeko la mara kwa mara la mahitaji ya umeme, likifanya ufuatiliaji na ujenzi wa vyanzo vya nishati ya kijani na nafuu kuwa jambo la lazima.

    Katika Kaunti ya Nakuru, Mtambo wa Kuzalisha Umeme wa Megawati 35 kwa Jotoardhi wa Sosian Menengai, uliojengwa na Kundi la Kampuni za Kaishan la China, ulianza usambazaji umeme tangu Juni 2023, ukiwezesha uhamaji wa Kenya kwenda kwenye nishati safi.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>