<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Utamaduni wa Kale wa Dolan nchini China Waonyesha Haiba Nzuri

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2024
    Utamaduni wa Kale wa Dolan nchini China Waonyesha Haiba Nzuri
    Wasanii wakiimba na kucheza ngoma katika eneo la vivutio?cha watalii la Dolan, Wilaya ya Awati, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, China, Septemba 25. (Xinhua/Ruan Shuai)

    Wilaya ya Awati ya Eneo la Aksu katika Mkoa wa Xinjiang nchini China ni mojawapo kati ya maeneo chimbuko la utamaduni wa Dolan. Sanaa nane za jadi zikiwemo za Dolan Maxrap, Dolan Muqam, ujuzi wa kutengeneza pombe ya Musalais, na sanaa ya Dolan Rawab zimeorodheshwa kwenye Orodha ya Miradi ya Uhifadhi wa Urithi wa Utamaduni usioshikika wa Ngazi ya Mkoa Unaojiendesha. Kati yake sanaa ya Dolan Maxrap imeorodheshwa kwenye Orodha ya Miradi ya Uhifadhi wa Urithi wa Utamaduni Usioshikika wa Kitaifa. Eneo hilo la kivutio cha watali la Dolan limekuwa likivutia watalii wengi kwa ajili ya kustarehe na burudani.?

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av