<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Habari picha: Mrithi wa sanaa ya uchongaji vinyago vya magogo ya Wuyuan Mashariki mwa China (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
    Habari picha: Mrithi wa sanaa ya uchongaji vinyago vya magogo ya Wuyuan Mashariki mwa China
    Picha hii ikionesha Sehemu ya kazi ya vinyago vya kuchongwa kwenye magogo ya Kijiji cha Wangkou cha Wilaya ya Wuyuan, Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China Septemba 20, 2024. (Xinhua/Wan Xiang)

    "Uchongaji Vinyago wa Aina Tatu wa Wuyuan" unajumuisha Sanaa za uchongaji kwenye mawe, matofali na magogo, kati yao uchongaji vinyago kwenye magogo ni wenye uwakilishi zaidi wa Sanaa za uchongaji za Wuyuan. Ukiwa unajivunia historia ya zaidi ya miaka 1,000, ufundi huo wa kuchonga vinyago uliorodheshwa kuwa urithi wa utamaduni usioshikika wa China Mwaka 2006.

    Uchongaji wa vinyago kwenye magogo wa Wuyuan unajikita katika kuonyesha usanifu wa sehemu maalum za majengo ya ujenzi wa mtindo wa Huizhou kama vile nguzo na fremu za dirisha. Mbinu mbalimbali zinatumiwa katika kuchonga picha za kupendeza za miundo yenye kuvutia ya China, ikionyesha uthamini endelevu wa uzuri na matarajio ya watu juu ya maisha bora.

    Yu Youhong, mrithi wa ufundi huo, pia amejitolea kulinda na kukarabati majengo ya kale katika mji wake huo alikozaliwa. Hivi sasa, Yu na wanafunzi wake wamekarabati na kurejesha sura ya vinyago vya magogo kwenye majengo ya kale zaidi ya 100 yaliyojengwa katika enzi za Ming na Qing (1368-1911).?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>