<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Mrithi wa Wimbo?wa Kabila la Wadong (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2024
    Mrithi wa Wimbo?wa Kabila la Wadong
    Agosti 28, Wu Chunyue(wa kati) na wenyeji wakiimba kukaribisha watalii katika Kijiji cha Chengyangbacun cha Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang Mkoani Guangxi, China. (Xinhua/Zhang Ailin)

    Wilaya ya Kabila la Wadong ya Sanjiang ya Mkoa wa Guangxi ambayo ina wakazi wengi zaidi wa Kabila la Wadong nchini China, inajulikana kwa utamaduni wa aina mbalimbali wa Kabila la Wadong. Wimbo wa Kabila la Wadong imeorodheshwa kwenye orodha ya vitu vya urithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa wa China mwaka 2009.

    Wu Chunyue mwenye umri wa miaka 37 ndiye mrithi wa Wimbo wa Kabila la Wadong, amejitolea katika uvumbuzi wa kwaya za Kabila la Wadong, akichanganya ala za kijadi na vipengee vya muziki vya kisasa ili kuvumbua mtindo mpya wa kuonyesha. Zaidi ya hayo, Wu Chunyue amekuwa akiendelea kufanya kazi za shambani, kuwasiliana na wanavijiji na watalii wa eneo hilo ili kupata wazo kutoka maisha. Juhudi zake zimevutia vijana wengi zaidi kufuatilia utamaduni wa Kabila la Wadong.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>