<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    China yafanya Maonyesho ya Kimataifa ili kuongeza uwekezaji na biashara

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2024
    China yafanya Maonyesho ya Kimataifa ili kuongeza uwekezaji na biashara
    Mfanyabiashara wa mvinyo kutoka Hungary akionyesha chupa ya mvinyo inayozalishwa katika eneo la mvinyo la Tokaj nchini Hungary kwenye Maonyesho ya 24 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China (CIFIT) mjini Xiamen, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Septemba 8, 2024. (Xinhua/Wei Peiquan)

    XIAMEN - Maonyesho ya 24 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China (CIFIT) yamefunguliwa jana siku ya Jumapili katika mji wa Xiamen, Mkoa wa Fujian wa China, ambapo yakichukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 120,000, maonyesho hayo yatakayofanyika kwa siku nne yamevutia washiriki kutoka nchi na maeneo 119, na asilimia 80 kati yao ni washirika wa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI).

    Maonyesho hayo ya mwaka huu yanaweka mkazo katika kuonesha uchumi wa kidijitali, nishati mpya na uvumbuzi wa kijani. Yanatarajiwa kutumika kama jukwaa la shughuli zaidi ya 80 za uwekezaji na shughuli za maonyesho ya barabarani.

    Maonyesho hayo, yanayoandaliwa na Wizara ya Biashara ya China, yalianzishwa mwaka 1997, yamekuwa jukwaa muhimu la kukuza uwekezaji na kuwezesha maendeleo ya kimataifa.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>