<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Vivutio vya Kaskazini Mashariki mwa?China vyenye hali ya hewa baridi vimekuwa vivutio vya “kidhahabu” kwa utalii wa majira ya joto (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 29, 2024
    Vivutio vya Kaskazini Mashariki mwa?China vyenye hali ya hewa baridi vimekuwa vivutio vya “kidhahabu” kwa utalii wa majira ya joto
    Watalii wakifurahia maua kwenye Hifadhi ya kitaifa ya Mazingira ya Asili ya Ziwa Chagan huko Songyuan, Mkoa wa Jilin wa Kaskazini Mashariki mwa China, Agosti 26, 2024. (Xinhua/Zhang Nan)

    Vivutio vya utalii vya Kaskazini Mashariki mwa China, vilivyojulikana kwa mandhari yake ya theluji ya kipekee, baada ya kupata ukuaji wa shughuli za utalii msimu wa theluji mwaka jana, hivi sasa vinashuhudia hali ya kuongezeka kwa kiasi kikubwa watalii katika majira ya joto.

    Eneo la Kaskazini Mashariki mwa China, ambalo linajivunia rasilimali zake nyingi za barafu na theluji, ambapo sehemu za misitu za eneo hilo ni kubwa zaidi, na wakati wa majira ya joto, hali ya hewa ya eneo hilo ni ya kufaa sana. Baada ya kujenga Sura ya aina mbili ya utalii, yaani utalii kwenye sehemu za barafu na theluji majira ya baridi, na utalii kwenye sehemu zenye hali ya hewa ya baridi kiasi cha kufaa majira ya joto, serikali za mitaa za eneo hilo zimeanzisha njia ya maendeleo ya kwenda sambamba kwa ulinzi wa ikolojia na ukuaji wa uchumi.?

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>