<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Ukingo wa lambo uliobomoka katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani wazibwa

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2024
    Ukingo wa lambo uliobomoka katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani wazibwa
    Picha ya droni iliyopigwa Agosti 14, 2024 ikionyesha waokoaji wakiweka mifuko ya mchanga kwenye eneo la ukingo wa lambo uliobomoka katika Kitongoji cha Taipingdi cha Mji wa Chifeng, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Bei He)

    HOHHOT – Ukingo wa lambo uliobomoka kwenye mto ulio Mkoa wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China ulikuwa umezibwa kufikia saa 8:13 mchana siku ya Jumatano, na bila kusababisha vifo na majeruhi ya watu, kwa mujibu wa idara ya kinga na udhibiti wa ukame na mafuriko ya mkoa huo.

    Kubomoka kwa ukingo huo wa lambo, kwenye eneo lenye urefu wa mita 10 kwa upana, kulitokea majira ya saa 6:40 mchana siku ya Jumanne kwenye Mto Laoha katika Kitongoji cha Taipingdi cha Mji wa Chifeng, kukilazimu zaidi ya wakazi 800 kuondoka kwenye makazi yao na kuathiri mashamba ya kilimo yenye ukubwa wa hekta 600.

    Waokoaji zaidi ya 800 kutoka jeshi la polisi, jeshi la zimamoto, idara za usalama wa umma, idara za usimamizi wa dharura na idara zingine walitumwa kuziba ubomokaji huo.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>