<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Picha: Pazia la ulinzi wa usalama wa ikolojia Kaskazini Mashariki mwa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2024
    Picha: Pazia la ulinzi wa usalama wa ikolojia Kaskazini Mashariki mwa China
    Picha hii iliyopigwa kwa droni tarehe 4 Juni 2024 ikionyesha mandhari katika eneo la kivutio cha utalii la Kisiwa cha Jua huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Song Wang)

    Ikiwa ni sehemu ya mashariki ya Mpango wa Misitu ya Ukanda wa Ulinzi wa Ikolojia wa Maeneo Matatu ya Kaskazini mwa China (yaani maeneo ya Kaskazini, Kaskazini Mashariki na Kaskazini Magharibi, unajulikana kama TSFP), ambao ni mradi mkubwa wa upandaji miti, eneo la kaskazini mashariki mwa China limeshuhudia uboreshaji endelevu wa mazingira ya kiikolojia. China ilipendekeza Juni 2023 kubadilisha mradi huo wa TSFP kuwa "Ukuta Mkuu wa Kijani" na kuwa Pazia la ulinzi wa usalama wa ikolojia kaskazini mwa China. Mpango huo ulioanzishwa mwaka 1978, unalenga kurejesha upya na kuyafanya kuwa ya kijani maeneo ya jangwa na maeneo yenye hali ya jangwa katika maeneo ya kaskazini, kaskazini magharibi, na kaskazini mashariki mwa China.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av