<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    China yarusha satalaiti ya aina mpya ya huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 02, 2024
    China yarusha satalaiti ya aina mpya ya huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu
    Roketi ya Changzheng 3B iliyobeba satalaiti ya aina mpya ya utoaji huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu ikirushwa kutoka kwenye Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Xichang katika Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China, Agosti 1, 2024. (Picha na Hu Zenghui/Xinhua)

    XICHANG - China imetuma imerusha satalaiti ya aina mpya ya utoaji huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu siku ya Alhamisi kutoka Kituo cha Urushaji Satalaiti cha Xichang kilichoko Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China ambako satalaiti hiyo imerushwa majira ya saa 3:14 usiku (Saa za Beijing) ikibebwa na roketi ya Changzheng 3B na kufaulu kuingia kwenye obiti yake iliyopangwa kwenye anga ya juu.

    Urushaji huo unamaanisha safari ya 529 ya kutekeleza jukumu ya mfululizo wa roketi za Changzheng.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av