<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Kiwanda cha Mimea: Uwanja mpya wa Uzalishaji wa Kilimo (7)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2024
    Kiwanda cha Mimea: Uwanja mpya wa Uzalishaji wa Kilimo
    Watembeleaji wawili (wa kwanza na pili kutoka kulia) wakifahamishwa kuhusu namna mboga zinavyokua chini ya mwanga maalumu ya LED katika kiwanda cha mimea huko Quanzhou, Mkoa wa Fujian,China, Mei 8, 2024. (Picha/Xinhua)

    Mfumo wa uzalishaji wa mimea wenye ufanisi wa hali ya juu, ambapo mazingira ya ukuaji wa mimea yanawezesha kufikia udhibiti kamilifu kwa kutumia akili mnemba, umetumika katika kiwanda cha mimea cha kiotomatiki cha kikazi kipya katika Mkoa wa Fujian, China.

    Katika kiwanda hicho cha mimea, kilimo cha mboga hakihitaji jua na udongo. Kwa sasa mazao ya kila siku ya mboga yanaweza kufikia tani 1.5, na usambazaji endelevu wa mazao umefikiwa katika maeneo ya karibu kama vile miji ya Fuzhou, Xiamen na Quanzhou.

    Mbunifu na mwendeshaji wa mfumo huo, kampuni ya Sanan Sino-Science iliyoanzishwa mwaka 2015, ni ubia wa Taasisi ya Mimea chini ya Akademia ya Sayansi ya China na kampuni ya Sanan ya teknolojia ya mwanga wa jua yenye makao makuu yake mjini Xiamen.

    Teknolojia ya kampuni hiyo ya LED na ya biolojia ya nuru zimefika katika nchi na maeneo 33 zikiwemo Marekani, Japan na Singapore.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>