<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Benki Kuu ya Afghanistan kuingiza dola milioni 12 sokoni ili kuleta utulivu katika sarafu ya nchi hiyo

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 20, 2022
    Benki Kuu ya Afghanistan kuingiza dola milioni 12 sokoni ili kuleta utulivu katika sarafu ya nchi hiyo
    Picha iliyopigwa Juni 19, 2022 ikionyesha nembo ya Benki Kuu ya Afghanistan, Benki ya Da Afghanistan (DAB), huko Kabul, Afghanistan. Benki Kuu ya Afghanistan, inayofahamika kwa jina la Benki ya Da ya Afghanistan (DAB), imesema Jumapili kuwa itaingiza zaidi dola milioni 12 za Kimarekani katika soko la ndani ili kukuza sarafu ya Afghanistan. (Picha na Saifurahman Safi/Xinhua)

    KABUL - Benki Kuu ya Afghanistan, Benki ya Da Afghanistan (DAB), imesema Jumapili kuwa itaingiza zaidi dola za Kimarekani milioni 12 katika soko la ndani ili kukuza sarafu ya nchi hiyo.

    DAB imesema katika taarifa yake kwamba inazitaka benki zote zinazostahiki na watoa huduma za kifedha kushiriki katika mnada uliopangwa kufanyika leo Jumatatu.

    "Katika zabuni za mnada, hairuhusiwi kulipa kwa sehemu ya malipo na washindi wa mnada lazima waweke malipo yao yote ya fedha taslimu katika Benki ya Da Afghanistan kwa wakati mmoja," imesema taarifa hiyo.

    Dola ya Marekani imeshuka thamani dhidi ya sarafu ya Afghanistan ikilinganishwa na wiki chache zilizopita. DAB ilifanya mnada wa dola milioni 11 mapema wiki hii.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>