<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    人民網(wǎng)首頁(yè)

    Habari

    Mwandishi wa habari kutoka Afrika akirusha tiara aliyoitengeneza katika kituo cha vyombo vya habari cha Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) mjini Beijing, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Li He)

    Katika picha: Kituo cha vyombo vya habari cha Mkutano wa Kilele wa FOCAC wa 2024

    Rais Xi Jinping wa China akutana na Rais William Ruto wa Kenya

    Rais Xi Jinping wa China akikutana na Rais wa Kenya William Ruto, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) 2024 kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen) BEIJING - Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Kenya William Ruto, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambapo ameeleza kuwa nchi hizo mbili zimekuwa mstari wa mbele katika kuhimiza pamoja ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na kukamilisha miradi mingi ya miundombinu muhimu zaidi, yenye ushawishi zaidi, na ni ya alama zaidi, ikichangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya kikanda na kunufaisha watu wa pande hizo mbili.

    Marais wa China na Nigeria watangaza kuinua kiwango cha uhusiano wa pande mbili

    Rais Xi Jinping wa China akifanya mazungumzo na Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen) BEIJING - Rais Xi Jinping wa China na Rais Bola Tinubu wa Nigeria ambaye yuko mjini Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali wamefanya mazungumzo siku ya Jumanne na kutangaza kuinua uhusiano kati ya China na Nigeria kuwa uhusiano wa kiwenzi na kimkakati wa pande zote.

    China yatia saini mikataba ya ushuru na nchi 21 za Afrika

    BEIJING - China imetia saini mikataba ya ushuru na nchi 21 za Afrika hadi sasa, afisa wa Mamlaka ya Taifa ya Ushuru ya China (STA) amesema siku ya Jumatatu, akiongeza kuwa mamlaka za ushuru za China zinatafuta fursa za kuongeza ushirikiano wa kimataifa wa ushuru na nchi za Afrika. Meng Yuying, mkuu wa Idara ya Mambo ya Ushuru ya Kimataifa ya STA, amesema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari wa Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).

    Iliyopita4 5 6 7 8 9 Inayofuata
    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>