<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    “Kazi ya uongozi ya China inahimiza mfumo wa ushirikiano kati ya nchi za BRICS kuendeleza”—Mahojiano na mtaalamu wa Afrika Kusini Roboji?wa masuala ya BRICS

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2024

    "China inafanya kazi muhimu katika kuhimiza kukamilisha mfumo wa ushirikiano wa BRICS siku hadi siku, kutetea usawa na haki na ushirikiano wa pande nyingi. Kazi ya uongozi ya China inahimiza kuendeleza mfumo wa ushirikiano kati ya nchi za BRICS.”Zukiswa Roboji, mtafiti wa Chuo Kikuu cha Walter Sisulu cha Afrika Kusini, ambaye pia ni mtaalamu wa masuala ya ushirikiano wa BRICS, alisema katika mahojiano maalum na Shirika la Habari la China Xinhua hivi karibuni.

    Mkutano wa 16 wa Viongozi wa BRICS utafanyika Oktoba 22 hadi 24 huko Kazan, Russia. Roboji alisema kuwa mfumo wa ushirikiano wa BRICS umepata maendeleo dhahiri katika miaka ya hivi karibuni na China imefanya kazi muhimu ya kuongoza.

    Roboji alieleza kuwa ushawishi wa mfumo wa ushirikiano wa BRICS umeimarishwa katika sekta nyingi muhimu na mvuto wake kwa nchi nyingine umezidi kuongezeka.“China imejikita katika kuhimiza ushirikiano kati ya nchi za BRICS na imetoa mchango kwa ajili ya kuongezeka kwa ushawishi wa mfumo wa ushirikiano wa BRICS.”

    Roboji alisema kuwa China imefanya kazi ya uongozi katika kuanzisha Benki Mpya ya Maendeleo ya BRICS, na kuziwezesha nchi zinazoibukia kukusanya mitaji kirahisi zaidi na kupata fursa za biashara za kimataifa, uwekezaji na maendeleo.

    Roboji alisema kuwa mfumo wa ushirikiano wa BRICS ni wa uwazi na jumuishi, kwa kupitia kupokea nchi nyingi wanachama, umeonesha mvuto na umuhimu wake unaozidi kuongezeka katika muudo wa siasa ya kijioglafia unaobadilika bila kusita. Mfumo wa ushirikiano wa BRICS unalenga kudumisha ushirikiano wa pande nyingi, "ambao unalingana na msimamo wa nchi zinazoibukia wa kutafuta haki zaidi ya kutoa sauti katika maamuzi ya kimataifa."

    Roboij amesema kuwa mfumo wa ushirikiano wa BRICS unatilia maanani ushirikiano katika teknolojia, nishati na mabadiliko ya hali ya hewa, nchi za BRICS ni washirika bora kwa nchi zinazotafuta ukuaji endelevu na kukabiliana na changamoto za dunia nzima.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>