<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Kenya yaanza kuhamisha tembo ili kuboresha uwepo wa pamoja na binadamu

    (CRI Online) Oktoba 06, 2024

    Mamlaka ya wanyamapori ya Kenya (KWS) imepongeza operesheni ya kuhamisha wanyamapori ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha maisha ya wanyamapori na kuimarisha uhifadhi wa makazi ya wanyamapori.

    KWS imesema tembo karibu 50 watahamishwa kutoka mbuga ya taifa ya Mwea hadi Mbuga ya Aberdare katikati mwa Kenya.

    KWS imesema uhamishaji huo unaendana na mpango wa taifa wa usimamizi wa Tembo 2023-2032, ulioandaliwa na wakala huo na washirika wake, ambao unatoa wito wa kupata idadi endelevu ya tembo, kupunguza migongano kati ya binadamu na tembo, na kurejesha makazi yaliyoharibiwa.

    Inatarajiwa kuwa hatua hii itapunguza shinikizo kwenye mbuga ya Mwea, ambako idadi ya tembo imeongezeka kutoka 49 ya mwaka 1979 hadi 156 ya sasa.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>