<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Maonyesho ya China na ASEAN yavutia idadi ya kuvunja rekodi waonyeshaji bidhaa

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2024

    Picha hii ikionyesha Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Nanning huko Nanning, Mkoa wa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Septemba 24, 2024. (Xinhua/Huang Xiaobang)

    NANNING - Maonyesho ya 21 ya China na nchi za ASEAN (CAEXPO), ambayo yameweka rekodi ya kuvutia waonyeshaji bidhaa 3,300, yamehitimishwa jana siku ya Jumamosi mjini Nanning, katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China.

    Maonyesho hayo yalikuwa na kampuni za kuonesha bidhaa 3,300, huku 2,004 zikishiriki katika ukumbi mkuu wa maonyesho mjini Nanning. Miongoni mwao ni kampuni 740 kutoka nchi za ASEAN, kwa mujibu wa Wei Zhaohui, katibu mkuu wa Sekretarieti ya CAEXPO.

    Sehemu mpya ilianzishwa mwaka huu ili kuangazia tasnia ibuka za kimkakati, ikionyesha maendeleo na teknolojia mpya katika sekta za teknolojia za kidijitali, nishati mpya na magari yaliyounganishwa teknolojia za kisasa.

    Maonyesho hayo ya mwaka huu yameshuhudia kusainiwa kwa mikataba ya miradi 109, huku asilimia 69 ya miradi hiyo ikijikita katika viwanda. Miradi hiyo inahusika na sekta muhimu kama vile nyenzo mpya za kemikali, nishati mpya na uhifadhi wa nishati, metali zisizo na vilipuzi na mashine na vifaa, pamoja na tasnia ibuka ikiwa ni pamoja na vifaa vya polima vyenye kutoa kaboni chache na nyezo za kemikali za semikondakta za teknolojia za hali ya juu.

    Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2004, CAEXPO yamejenga kikamilifu jukwaa kwa kampuni za ASEAN kuingia katika soko la China. Maonyesho ya 22 yamepangwa kufanyika kuanzia Septemba 17 hadi 21, 2025, huku Myanmar ikiwa nchi mgeni wa heshima.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av