<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    AU yatoa wito wa juhudi za pamoja katika kukabiliana na changamoto za amani na usalama barani Afrika

    (CRI Online) Septemba 23, 2024

    Umoja wa Afrika (AU) umetoa wito wa juhudi za pamoja katika bara hilo ili kukabiliana na ongezeko la tishio la amani na usalama katika bara hilo ambalo linasababishwa kwa kiasi kikubwa na matukio ya kigaidi na mapigano ya kutumia silaha.

    Hayo yamo kwenye taarifa iliyotolewa Jumamosi na Kamishna wa AU anayeshughulikia Masuala ya Kisiasa, Amani na Usalama, Bankoye Adeoye, katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani, ambayo huadhimishwa kila mwaka, Septemba 21.

    Kamishna huyo amesema, katika baadhi ya matukio ya changamoto za amani na usalama, dhana ya ulinzi wa raia inashindwa kutekelezwa, na mauaji ya kimbari aidha yanatokea ama yanakuwa hatarini kutokea, kutokana na ukosefu wa haki, kukosa uvumilivu, kutengwa, umasikini, ukosefu wa usawa na changamoto zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>