<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    UNGA yataka kukomeshwa kwa ukaliaji wa Israel huko Palestina ndani ya mwaka mmoja

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024

    UMOJA WA MATAIFA - Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepitisha azimio lisilohitaji kutiwa saini za makubaliano na pande husika siku ya Jumatano likitaka kukomeshwa kwa ukaliaji kimabavu wa Israel katika eneo la Palestina ndani ya miezi 12 ijayo kwa kuungwa mkono na nchi nyingi wanachama.

    Azimio hilo limepitishwa kwa kura 124 za ndiyo, 14 za hapana na 43 zilizojizuia kupiga kura, kwenye mkutano wa dharura wa 10 wa Baraza Kuu ulioangazia hatua za Israel katika Jerusalem Mashariki inayokaliwa kimabavu na maeneo mengine ya Ardhi ya Palestina Yanayokaliwa Kimabavu.

    Azimio hilo linaloitaka Israel itii wajibu wake wote wa kisheria chini ya sheria za kimataifa, ikiwa ni pamoja na maoni ya ushauri ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki, liliwasilishwa na Taifa la Palestina siku ya Jumanne na liliungwa mkono kwa pamoja na mataifa mbalimbali zaidi ya 20.

    Kwa azimio hilo jipya lililopitishwa, UNGA "inaitaka kwamba Israel ikomeshe bila kuchelewa uwepo wake kinyume cha sheria katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kimabavu, ambao ni kitendo kisicho sahihi cha mwenendo endelevu unaohusisha wajibu wake wa kimataifa na kufanya hivyo si zaidi ya kipindi cha miezi 12 tangu kupitishwa kwa azimio la sasa."

    UNGA pia inaitaka Israel kutii bila kuchelewa wajibu wake wote wa kisheria chini ya sheria za kimataifa, ikiwa ni pamoja na ilivyoainishwa na Mahakama ya Kimataifa ya Haki.

    Kwenye hotuba yake kabla ya upigaji kura huo, Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Falme za Kiarabu katika Umoja wa Mataifa, Mohamed Issa Abushahab, alisema maafa ya kibinadamu huko Gaza lazima yashughulikiwe kwa njia ya kuwafikia bila vikwazo wale wenye uhitaji, makubaliano ya kusimamisha mapigano na utekelezaji kamili wa Maazimio yote husika ya Baraza la Usalama.

    Akiwasilisha rasimu ya azimio hilo siku ya Jumanne, Riyad Mansour, mwangalizi wa kudumu wa Taifa la Palestina kwenye Umoja wa Mataifa, ametoa wito wa kuanzishwa kwa Taifa huru na lenye mamlaka kamili la Palestina kwenye mipaka ya Mwaka 1967, Jerusalem Mashariki ikiwa ni mji mkuu wake.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>