<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Ukarabati wa Miundombinu wa Reli ya TAZARA utaongeza uwezo wake wa usafirishaji wa mwaka hadi tani milioni 2

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2024

    Stesheni ya TAZARA ya Dar es Salaam. Picha imepigwa na Shen Xiaoxiao.

    Stesheni ya TAZARA ya Dar es Salaam. Picha imepigwa na Shen Xiaoxiao.

    Mamlaka ya Reli ya TAZARA Jumanne ilisema, baada ya utiaji saini wa Makubaliano ya Maelewano (MoU), kazi ya ukarabati wa Reli ya TAZARA itafanya reli hiyo iwe msukumo mkuu wa maendeleo ya uchumi wa kikanda, na hii inaendana na matarajio ya watu wa Tanzania na Zambia.

    Taarifa iliyotolewa na makao makuu ya Reli ya TAZARA mjini Dar es Salaam ilisema kuwa, uwezo wa usafirishaji wa kila mwaka wa waendeshaji wote kwa wastani unakadiriwa kuwa utaongezeka kutoka tani laki 5 hadi tani milioni 2 hivi.

    Tarehe 4, Septemba, wakati mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) 2024 ulipofanyika, Makubaliano ya Maelewano kuhusu kibali maalumu cha TAZARA yalitiwa saini hapa Beijing, jambo ambalo lina umuhimu mkubwa kwa njia hiyo ya katikati na hata bara zima la Afrika.

    Taarifa ilisema, makubaliano hayo yalifikiwa chini ya kushuhudiwa na viongozi wa China, Tanzania na Zambia, na yatahimiza ustawi wa miundombinu ya Reli ya TAZARA pamoja na treni, na kuiwezesha reli hiyo kuonesha uwezo wake vya kutosha.

    Taarifa ilisema, hivi sasa upande wa Reli ya TAZARA unafanya mazungumzo kwa hamasa na Kampuni ya Uhandisi na Ujenzi ya China (CCECC), ambayo ni moja kati ya kampuni kubwa zaidi za kiserikali za China za kufanya kazi ya ujenzi nje ya nchi, na pia ni mjenzi wa awali wa Reli ya TAZARA.

    “Lengo letu ni kutia saini makubaliano kuhusu kibali maalumu kabla ya mwisho wa mwaka huu,” ilisema taarifa hiyo ambayo ilitiwa saini na Conrad Simuchile, msimamizi mkuu wa uhusiano wa mawasiliano wa TAZARA.

    Taarifa ilisema, kutokana na makubaliano hayo, inakadiriwa ukarabati wa miundombinu na treni utachukua muda wa miaka miwili hivi.

    Taarifa iliongeza kuwa, ukomo wa kibali maalumu utakuwa wa muda wa miaka 30, na katika muda huo, uwezo wa uendeshaji wa Reli ya TAZARA unakadiriwa kuwa utaboreshwa kwa kiasi kikubwa.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>