<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Waziri wa usalama wa umma wa China akutana na maofisa wa Serbia na Afrika Kusini

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2024

    Mjumbe wa Kitaifa  ambaye pia ni Waziri wa Usalama wa Umma wa China Wang Xiaohong akikutana na Naibu Waziri Mkuu wa Serbia ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani Ivica Dacic, ambaye yuko China  kuhudhuria Mkutano ujao wa 2024 wa Jukwaa la Ushirikiano wa Usalama wa Umma Duniani (Lianyungang), mjini Beijing, China. Septemba 8, 2024. (Xinhua/Li Xiang)

    Mjumbe wa Kitaifa ambaye pia ni Waziri wa Usalama wa Umma wa China Wang Xiaohong akikutana na Naibu Waziri Mkuu wa Serbia ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani Ivica Dacic, ambaye yuko China kuhudhuria Mkutano ujao wa 2024 wa Jukwaa la Ushirikiano wa Usalama wa Umma Duniani (Lianyungang) mjini Beijing, China, Septemba 8, 2024. (Xinhua/Li Xiang)

    BEIJING - Mjumbe wa Kitaifa ambaye pia ni Waziri wa Usalama wa Umma wa China Wang Xiaohong amekutana na Naibu Waziri Mkuu wa Serbia ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani Ivica Dacic na Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini Senzo Mchunu mjini Beijing siku ya Jumapili.

    Kweye mkutano wake na Dacic, Wang ameeleza matumaini yake kuwa pande zote mbili zitachukua makubaliano muhimu ya wakuu wa nchi hizo mbili kama mwongozo, kuimarisha mawasiliano ya ngazi ya juu katika kusimamia utekelezaji wa sheria, na kuimarisha ushirikiano wa usimamizi wa utekelezaji wa sheria katika maeneo muhimu kama vile usimamizi wa uhamiaji, mapambano dhidi ya uhalifu wa ulaghai wa simu na ugaidi.

    Kwa upande wake Dacic amesema Serbia inafuata kithabiti kanuni ya kuwepo kwa China moja na ina nia ya kuzidisha ushirikiano na China katika masuala ya usimamizi wa utekelezaji wa sheria na usalama, na kusukuma uhusiano wa pande mbili kwenye ngazi mpya.

    Katika mazungumzo yake na Mchunu, Wang amesema China ina nia ya kutekeleza kwa pamoja maoni muhimu ya pamoja ya viongozi wa nchi hizo mbili na Afrika Kusini, kuimarisha ujenzi wa mfumo wa mawasiliano kwenye ngazi ya juu, kuimarisha ushirikiano katika kupambana na uhalifu wa kuvuka mipaka, kujenga kwa pamoja uwezo wa utekelezaji sheria kuhusu usalama wa ujenzi wa Ukanda Mmoja, Njia Moja, kulinda kithabiti maslahi ya pamoja, na kujenga kizuizi imara cha usalama kwa uhusiano kati ya China na Afrika Kusini na ushirikiano kati ya China na Afrika.

    Kwa upande wake Mchunu amesema urafiki kati ya Afrika Kusini na China una historia ndefu na kwamba Afrika Kusini inapenda kufanya ushirikiano wenye matokeo halisi na ufanisi wa polisi na China, kulinda ipasavyo usalama wa raia, taasisi na miradi mikubwa ya China nchini Afrika Kusini, na kusukuma uhusiano wa karibu wa Afrika Kusini na China.?

    Mjumbe wa Kitaifa ambaye pia ni  Waziri wa Usalama wa Umma wa China Wang Xiaohong akikutana na Naibu Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini Senzo Mchunu, ambaye yuko China  kuhudhuria Mkutano ujao wa 2024 wa Jukwaa la Ushirikiano wa Usalama wa Umma Duniani (Lianyungang), mjini Beijing, China. Septemba 8, 2024. (Xinhua/Li Xiang)

    Mjumbe wa Kitaifa ambaye pia ni Waziri wa Usalama wa Umma wa China Wang Xiaohong akikutana na Naibu Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini Senzo Mchunu, ambaye yuko China kuhudhuria Mkutano ujao wa 2024 wa Jukwaa la Ushirikiano wa Usalama wa Umma Duniani (Lianyungang) mjini Beijing, China, Septemba 8, 2024. (Xinhua/Li Xiang)

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>